iqna

IQNA

IQNA-Khatibu wa Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) ameonya kuhusiana na kushadidi mashambulizi ya Wazayuni dhidi ya msikiti huo na mji wa Quds, na hivyo ametoa mwito wa kukabiliana mara moja na vitendo hivyo visivyo vya kibinadamu vinavyosimamiwa na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3480627    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/03

Jinai za Israel
IQNA-Wakati mashambulizi ya jeshi katili la utawala haramu wa Israel katika sehemu mbalimbali za Ukingo wa Magharibi yakiendelea kwa siku ya 30 mfululizo, vikosi vya utawala huo ghasibu vimevamia nyumba ya mhubiri wa Msikiti wa Al-Aqsa, Sheikh Ekrima Sabri .
Habari ID: 3480240    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/19

Kadhia ya Palestina
IQNA – Sheikh Ekrema Sabri, Imamu wa Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na Israel, amesema sauti ya Adhana (wito wa Waislamu wa kuswali) itaendelea kusikika huko Palestina milele.
Habari ID: 3479850    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/03

Jinai za Israel
IQNA-Khatibu wa Msikiti wa Al-Aqsa Sheikh Ekrima Sabri amesema, kauli aliyotoa hivi karibuni waziri wa usalama wa ndani wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa ni hatarishi.
Habari ID: 3479338    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/27

Muqawama
IQNA-Utawala wa Kizayuni wa Israel umemkamata Khatibu wa Msikiti wa Al-Aqsa kwa kutuma salamu za rambirambi kutokana na mauaji yaliyofanywa na utawala huo dhalimu dhidi ya Shahidi Ismail Haniya.
Habari ID: 3479223    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/03

TEHRAN (IQNA)- Naila Sabri ni mwanamke Mpalestina ambaye ameandika Tafsiri ya Qur’ani Tukufu ijulikanayo kama Tafsir al-Mubsir li-Nur al-Quran na hatua yake hiyo imepongezwa kuwa ni mafanikio makubwa kwa Wapalestina.
Habari ID: 3474849    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/25

TEHRAN (IQNA) – Maafisa wa kijasusi wa utawala haramu wa Israel Ijumaa walimkamata Imamu wa Msikiti wa Al Aqsa Sheikh Ekrima Sabri akiwa nyumbani kwake Quds (Jerusalem) Mashariki.
Habari ID: 3472814    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/29